Irudie Injili ya Maji na Roho

Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ...more

Latest Episodes

1

January 13, 2023 01:30:57
Episode Cover

1. Maana ya Injili halisi ya Kuzaliwa Upya tena (Yohana 3:1-6)

Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si...

Listen

2

January 13, 2023 01:26:42
Episode Cover

2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)

Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka...

Listen

3

January 13, 2023 01:37:58
Episode Cover

3. Tohara ya Kweli ya Kiroho (Kutoka 12:43-49)

Maneno ya Mungu katika Agano la Kale na Jipya ni muhimu na yenye thamani kwetu sisi tunaomwamini Mungu. Hatuwezi kupuuzia hata mstari mmoja wa...

Listen

4

January 13, 2023 00:18:25
Episode Cover

4. Ni Namna Ipi Ya Kufanya Toba Ya Kweli Na Sahihi Kwa Dhambi (1 Yohana 1:9)

1 Yohana 1:9 ipo kwa wenye haki tu. Ikiwa mwenye dhambi hakuwa amekombolewa na kujaribu kupatanishwa na dhambi za kila siku kulingana na maneno...

Listen

5

January 13, 2023 01:29:58
Episode Cover

5. Upotoshaji Uliopo Kwenye Kanuni ya Kujulikana na Kuchaguliwa Tangu Asili (Warumi 8:28-30)

Kanuni ya kitheolojia kuhusu kuchaguliwa toka asili na kuteuliwa, ambazo ni miongoni mwa misingi ya theolojia zinazounda misingi ya Kikristo, zimewapelekea wengi wenye kutaka...

Listen

6

January 13, 2023 01:34:27
Episode Cover

6. Ukuhani Uliobadilika (Waebrania 7:1-28)

Katika Agano la Kale, palikuwepo na kuhani mkuu aliyeitwa Melkzedeki. Wakati wa Abrahamu, Kedorlaoma na wafalme walishirikiana naye na kutaka vitu vyote vya Sodoma...

Listen
Next