Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si takwa letu, au kwa maneno mengine si jambo ambalo litokanalo na matendo yetu pekee.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Yesu Kristo alisema “Si kila mtu aniambiaye Bwana, Bwana atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; Bali yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” Maneno...
1 Yohana 1:9 ipo kwa wenye haki tu. Ikiwa mwenye dhambi hakuwa amekombolewa na kujaribu kupatanishwa na dhambi za kila siku kulingana na maneno...
Maneno ya Mungu katika Agano la Kale na Jipya ni muhimu na yenye thamani kwetu sisi tunaomwamini Mungu. Hatuwezi kupuuzia hata mstari mmoja wa...