1 Yohana 1:9 ipo kwa wenye haki tu. Ikiwa mwenye dhambi hakuwa amekombolewa na kujaribu kupatanishwa na dhambi za kila siku kulingana na maneno yaliyo katika kifungu hicho kwa kutubu makosa yake, dhambi zake hazitofutika. Je, unaelewa ninachojaribu kuelezea? Kifungu hicho katika 1 Yohana 1:9 hakiwi kigezo kwa wenye dhambi ambao hawajazaliwa upya mara ya pili.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka...
Yesu Kristo alisema “Si kila mtu aniambiaye Bwana, Bwana atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; Bali yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” Maneno...
Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si...