Latest Episodes
1

1. Maana ya Injili halisi ya Kuzaliwa Upya tena (Yohana 3:1-6)
Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si...
2

2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)
Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka...
3

3. Tohara ya Kweli ya Kiroho (Kutoka 12:43-49)
Maneno ya Mungu katika Agano la Kale na Jipya ni muhimu na yenye thamani kwetu sisi tunaomwamini Mungu. Hatuwezi kupuuzia hata mstari mmoja wa...
4

4. Ni Namna Ipi Ya Kufanya Toba Ya Kweli Na Sahihi Kwa Dhambi (1 Yohana 1:9)
1 Yohana 1:9 ipo kwa wenye haki tu. Ikiwa mwenye dhambi hakuwa amekombolewa na kujaribu kupatanishwa na dhambi za kila siku kulingana na maneno...
5

5. Upotoshaji Uliopo Kwenye Kanuni ya Kujulikana na Kuchaguliwa Tangu Asili (Warumi 8:28-30)
Kanuni ya kitheolojia kuhusu kuchaguliwa toka asili na kuteuliwa, ambazo ni miongoni mwa misingi ya theolojia zinazounda misingi ya Kikristo, zimewapelekea wengi wenye kutaka...
6

6. Ukuhani Uliobadilika (Waebrania 7:1-28)
Katika Agano la Kale, palikuwepo na kuhani mkuu aliyeitwa Melkzedeki. Wakati wa Abrahamu, Kedorlaoma na wafalme walishirikiana naye na kutaka vitu vyote vya Sodoma...